Huyu hapa mtoto wa Mshana jr

Huyu hapa mtoto wa Mshana jr

Hiyo mkono iliyomshika huyo mtoto![emoji3][emoji3]
 
Hii ya kukanyagwa kitovu na mjomba ni serious au masihara?

Mie niliekuwa kipindi mabibi na mababu zetu bado wanafanya mila kama sehemu ya maisha yao, nilikuwa nawasikia wazee wakiwaaambia wazazi wa wenye watoto ambao vitovu vyao vimetoka nje, kuwa mjomba wa huyo mtoto akikanyaga hicho kitovu kwa kisigino basi kitovu hurudi ndani.

Those were hear says sikuwahi shuhudia mtoto ambae kitovu chake kilikuwa kikubwa baadae kikarudi ndani.

Ni sawa na ile mama mjamzito asikae mlangoni kama kupumzika akifanya hivo wakati wa kujifungua mtoto atakwama njiani hatatoka.

Sijui kama ina ukweli I grew up hearing such myths.

I hope I have cleared the doubt Mr Miller
 
Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!

Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.

Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.


Hii ya kukanyagwa kitovu na mjomba ni serious au masihara?
ha ha ha hiyo ya mjomba kukanyaga kitovu kwa kisigino haina tofauti na kuvaa hirizi.
Imani moja potofu
 
Isije kuwa ni mtoto wa yule mvaa hirizi mashuhuri nchini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom