Wajue tu kwamba sindano haipigwi konziNakusubiria
Mkali wao
Mbona wata juta Ku test moto kwa kuulambaaa??
HahahahahahabahahWajue tu kwamba sindano haipigwi konzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,Subiri kwanza mtego ujae
Tunaita kukanyaga ila Ni kukigusa Kama anakibonyeza hiyo Ni imani ambayo hutokea kuwa kweliUkimkanyaga si unamuua huyo mtoto!!!?[emoji30]
Mungu akupe maisha marefu, nacheka sana kwa comment zako najua ni jokes ila it means a lot.Wajue tu kwamba sindano haipigwi konzi
Hii mimi nimeiona kwa Mtoto wa dada yangu kabisa alifanyiwa hivyo kanalazwa chali halafu mjomba ana bonyeza na Dole gumba la mguu Ni kweli kitovu kilirudi kuwa cha kawaida japo Ni imani lakini hutimiaMie niliekuwa kipindi mabibi na mababu zetu bado wanafanya mila kama sehemu ya maisha yao, nilikuwa nawasikia wazee wakiwaaambia wazazi wa wenye watoto ambao vitovu vyao vimetoka nje, kuwa mjomba wa huyo mtoto akikanyaga hicho kitovu kwa kisigino basi kitovu hurudi ndani.
Those were hear says sikuwahi shuhudia mtoto ambae kitovu chake kilikuwa kikubwa baadae kikarudi ndani.
Ni sawa na ile mama mjamzito asikae mlangoni kama kupumzika akifanya hivo wakati wa kujifungua mtoto atakwama njiani hatatoka.
Sijui kama ina ukweli I grew up hearing such myths.
I hope I have cleared the doubt Mr Miller
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mungu akupe maisha marefu, nacheka sana kwa comment zako najua ni jokes ila it means a lot.
Ni baby wanhu muda mrefu tu tangu nwaka 2017Baby wakoooo kivipi ?Una hamu na ngumi fafanua vizur
Anakurusha roho tu hun am all yours.. Ni wewe pekeyako... Yote yako wala hakuna kolaboBaby wakoooo kivipi ?Una hamu na ngumi fafanua vizur
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni baby wanhu muda mrefu tu tangu nwaka 2017
wee mshana jr usinitanie ujue nina mimba yako sasa ina wiki 9Anakurusha roho tu hun am all yours.. Ni wewe pekeyako... Yote yako wala hakuna kolabo
Jamani nimempenda tu huyo mtotoJaman ndo nn kuleta baby wetu huku
Mkuu usije ukafanya alichofanya mngoa kucha kwa hakimuSubiri tu utaona kitakachotokea
[emoji24] [emoji24] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Dah wameshanifanya babu yao
Ila mimi sipo imejipostNafuatilia kila comment wee subiri tu utaona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila mimi sipo imejipost
Baadae walimalizana jiandae kukubali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] yale yale ya mobetoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] rafiki upo?Baadae walimalizana jiandae kukubali [emoji1][emoji1][emoji1]