Huyu hapa mtoto wa Mshana jr

Huyu hapa mtoto wa Mshana jr

Mie niliekuwa kipindi mabibi na mababu zetu bado wanafanya mila kama sehemu ya maisha yao, nilikuwa nawasikia wazee wakiwaaambia wazazi wa wenye watoto ambao vitovu vyao vimetoka nje, kuwa mjomba wa huyo mtoto akikanyaga hicho kitovu kwa kisigino basi kitovu hurudi ndani.

Those were hear says sikuwahi shuhudia mtoto ambae kitovu chake kilikuwa kikubwa baadae kikarudi ndani.

Ni sawa na ile mama mjamzito asikae mlangoni kama kupumzika akifanya hivo wakati wa kujifungua mtoto atakwama njiani hatatoka.

Sijui kama ina ukweli I grew up hearing such myths.

I hope I have cleared the doubt Mr Miller
Hii mimi nimeiona kwa Mtoto wa dada yangu kabisa alifanyiwa hivyo kanalazwa chali halafu mjomba ana bonyeza na Dole gumba la mguu Ni kweli kitovu kilirudi kuwa cha kawaida japo Ni imani lakini hutimia
 
Back
Top Bottom