Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
- Thread starter
- #41
Wamefuta wameniudhi sana wengefuta tena huu wengeniandalia ban ya mwakaUtawazibua choo au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefuta wameniudhi sana wengefuta tena huu wengeniandalia ban ya mwakaUtawazibua choo au?
Hakunialika [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Kwa mtoto mdogo tu dada...wewe umeshachelewa sana.Hii ya kukanyagwa kitovu na mjomba ni serious au masihara?
Yes ninauliza kwaajili ya mtoto mdogo sio mtu mzima!Kwa mtoto mdogo tu dada...wewe umeshachelewa sana.
Utawafanya nini?? Unawatisha mabossnimeweka jukwaa la jokes sasa niye mods futeni tena
I see you mbity... na nywele zilizo sukwahhahaha mm ndude hizi marufuku aisee
I see you mbity... na nywele zilizo sukwa
Sawa tudogo bwana
ht shikamoo hakunaSawa tu
Siwezi amkia JF tukikutana nitakuamkia kama utastahili shikamoo yangu.. vinginevyo you know the drill...😎ht shikamoo hakuna
😵😵😵😵Siwezi amkia JF tukikutana nitakuamkia kama utastahili shikamoo yangu.. vinginevyo you know the drill...😎
Labda ananipiga tunguriMshana atakuwa kakasirika sana mpaka sasa hajajibu chochote.
Sijui atakachokuja nacho.
HahahahaaaaaaaaLabda ananipiga tunguri
Mimi ndio boss bila mimi kuwa jamii forum aina maana tenaUtawafanya nini?? Unawatisha maboss
Thank you, panga siku😵😵😵😵