Huyu hapa mume wa Irene Uwoya

Hata wachaga?
 
Huyo jamaa kama anahela ameshindwa kupata demu shombeshombe wa kinyarwanda mpk kuchukua kitu used!
Wanasemaga vitu used ni imara sana.

Kanunue spares used kutoka USA na mwenzio anunue mpya kutoka China ndio utaelewa[emoji23]
 
Kamanda Pangani ndio kuna wanawake wa kueleweka nin?
 
Yani Kweli Irene amesilimu na kimkana YESU na kujiita SHEILA, kweli kabisa?
Hajui kwamba Yesu alisulubiwa kwaajili yake?
 
Yani Kweli Irene amesilimu na kimkana YESU na kujiita SHEILA, kweli kabisa?
Hajui kwamba Yesu alisulubiwa kwaajili yake?
Ameuza ukristo kafuata pesa na ndio laana inaambatana naye endelea kumuombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…