Huyu hapa mume wa Irene Uwoya

Huyu hapa mume wa Irene Uwoya

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Jamaa ni mkongo mwenye hela zake ndo maana ikawa rahisi kumbadili dini irene kuwa sheila

Ushahidi kadi ya mwaliko wa shughuli yenyewe. Soon picha ya bwana harusi itapatikana tu
22860983_1720847231311395_6356257397115191296_n.jpg
 
Wacongo,Warundi na Wanyarwanda wanawapenda sana wanawake wa Tanzania,na sifa ya kuwapenda ni moja tu inayowapagawisha hao jamaa,sifa yenyewe ni mikatiko ya kitandani.Maana wataalumu wa mambo hayo wanasema kwamba hapa chini ya jua ukimtaka mwanamke mwenye sanaa ya kitandani basi nenda Tanzania maana huko ni wote wanajua ufundi huo.
 
Sijaelewa,dogo janja huyu something mwanamziki wa hip hop dogo dogo au??
 
Wacongo,Warundi na Wanyarwanda wanawapenda sana wanawake wa Tanzania,na sifa ya kuwapenda ni moja tu inayowapagawisha hao jamaa,sifa yenyewe ni mikatiko ya kitandani.Maana wataalumu wa mambo hayo wanasema kwamba hapa chini ya jua ukimtaka mwanamke mwenye sanaa ya kitandani basi nenda Tanzania maana huko ni wote wanajua ufundi huo.

Kukatika? Kwani uwoya si mchaga?
 
Back
Top Bottom