Huyu hapa Patriki pacha wa Diamond

Acha uwongo wa kijinga,
 
kwann msiseme Diamond kafanana na Patrick!![emoji38]
 


Story za kijiwe cha ndumu hizi.
 
Maandiko yapi yakutunza?
 
aiseeh ivi kabla ya ujio wa wakoloni kulikuwa na mipaka ya nchi.

ivi kusuruhisha migigoro wanafata mipaka ipi iliyo wekwa na wakoloni kipindi cha kuligawa bara la afrika ama iyo inayo sema ya nyerere na nani sijui

aya unasema nyerere akakaa nao kusuruhish mgogoro wao wakachukua mombasa nasi tukachukua kilimanjaro. hapo hapo unasema wao wakaweka kwenye maandishi mlima ni wao (haya maandishi waliweka peke yao, )

porojo tu
 
Eti nilisikia Gavana wa ki-Jerumani alipewa mlima Kilimanjaro kama birthday present Mtawala wa Uingereza wa wakati huo.

Mombasa ilibadilishwa kwa Zanzibar na wa Portuguese ambao walijenga Fort Jesus Mombasa hii ilikuwa ng'ombe inara sana. Walimkadhi Suktan Zanzibar na Pemba na kuahidi kutomwingilia jama atawaachia Mombasa.
 
Wakenya hawachelewi kusema Diamond ni mkenya, maana hata Mlima Kilimanjaro walijaribu kuuhamishia kwao
Walishasema mkuu[emoji23][emoji23]wakenya sio watu wazuri,hata dr shika watasema ni wao
 


naona watu walikua wanagawana milima kama unampa mtu kuku hahahaha!!!!
Wewe chukua mlima mimi nipe mombasa, najiuliza tu why mzee kenyata aliichagua mombasa over mt.kilimanjaro ........???
 
Kafanana kwa kiasi flan pua,muonekano wa macho na mdomo ila yeye hana ile [emoji105] denda nene nene km ya chibu mwenyewe.
 

Mh!
Tango pori
 
Sasa kabla ya ukoloni kulikuwa na mipaka ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…