Huyu Hapa shabiki wa Simba aliyefariki ktk ajali akitokea Dodoma

Huyu Hapa shabiki wa Simba aliyefariki ktk ajali akitokea Dodoma

daah binti mdogo masikini.....Mungu amlaze mahala pema peponi
 
naamin usiku watu walijilia vyao kusherehekea ushindi
r.i.p Lioness
 
Dah alitaman sana kuiona simba ikipanda ndege ila ndio hivyo ameiacha inaelekea ukonga, apumzike kwa aman my school mate
 
Mbao inaninyima usingiz ikicheza na timu ninayoishabikia....
 
RIP Binti!
Binti mzuri hivi alafu anakuwa shabiki wa samba??
 
Back
Top Bottom