Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Ilikua mwaka 1992, sikuzile tukijiita LY.
Sasa hatukua na mziki kwenye umaliziaji. Nikiwa kijana, nikijana nikajipiga kifua, baba alikua na radio santuri ya sahani mbili sikuzile.
Nikicho kifanya ni kuzama store kwa mzee, na nikachukua baiskeli (swala) ya baba, kijana nikaifunga santuri kwenye kerua na nikaibeba spika. Hakika tulifurahia sana maisha sikuile na pareee ilikua afta pareee. Hakika tuli enjoy sana na sikuikaisha.
Then, baba alipo rudi toka safarini one time tulikua kitaa na tukajikuta tunakutana na yule mwalimu mkuuu. Siku hiyo mkuu akamshukuru baba kwa santuri na spika wakati niliikwiba akiwa safarini...😂 Yaani nilistuka, nikajikuta namwambia mwalim (ticha nitakuletea ile pesa ya michango ya rambirambi.🤣
Nashukuru mshua alijiongeza na hakuwai kuniuliza ile issue .🤗