Huyu Head Teacher alinikosea sana kwa kumshukuru baba

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Ilikua mwaka 1992, sikuzile tukijiita LY.

Sasa hatukua na mziki kwenye umaliziaji. Nikiwa kijana, nikijana nikajipiga kifua, baba alikua na radio santuri ya sahani mbili sikuzile.
Nikicho kifanya ni kuzama store kwa mzee, na nikachukua baiskeli (swala) ya baba, kijana nikaifunga santuri kwenye kerua na nikaibeba spika. Hakika tulifurahia sana maisha sikuile na pareee ilikua afta pareee. Hakika tuli enjoy sana na sikuikaisha.

Then, baba alipo rudi toka safarini one time tulikua kitaa na tukajikuta tunakutana na yule mwalimu mkuuu. Siku hiyo mkuu akamshukuru baba kwa santuri na spika wakati niliikwiba akiwa safarini...πŸ˜‚ Yaani nilistuka, nikajikuta namwambia mwalim (ticha nitakuletea ile pesa ya michango ya rambirambi.🀣

Nashukuru mshua alijiongeza na hakuwai kuniuliza ile issue .πŸ€—
 
Daaahh, maisha ya enzi hizo ni interesting sana
 
Nikweli comrade, niliwahi kuiba penseli pale TMP then nika kamatwa na mtawa..[emoji85][emoji85]
Hahahahaa, wizi wa vifaa vya walimu nimeufanya sana.

Kuna siku ticha alipitisha msako akatunasha wengi sana tuliokuwa na kalamu za walimu zilikuwa zinaitwa Speedo.

Alipoingia darasani akatuambia kuna quiz ya kutusomea Imla, haraka haraka tukaanza kutoa madaftari na kalamu ndipo akatunasa
 
LY . Kirefu chake ni nini, sijapata kujuwa mpaka sasa na uzee wangu wote
we uko kama mimi..kuna neno moja naliona linafupishwa sana humu na sehemu nyingi ila sjawahi kulielewa..pengine labda nitalielewa kwa mara ya kwanza... Neno lenyewe ni BTW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…