Huyu Honda namfikisha Tanzania kwa Shilingi ngapi?

Huyu Honda namfikisha Tanzania kwa Shilingi ngapi?

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
Picha zinajieleza
images (34).jpeg
images (32).jpeg
images (33).jpeg
 
Hii ni African twin ila ni ya zamani 2005 huko...
Mpaka ifike hapa andaa sii chini ya 12-13 milioni.
 
Una
Nenda pale ilala nyuma ya UDART wanapouza spea ukaangalie wanvyounga magari kutoka kwenye spea alafu waulize usajili na namba mtapaje?.
Kausha Unauza codes kwa wazushi wazee wa Kodi komozi
 
Hii ni ya mwaka 1990 na bei yake imeuzwa kwa £5000 ( 15m) nchi UK na ushuru na usafiri itabidi uulizie

Kama unataka angalia kwenye mitandao au auto trader zipo nyingi
Ni 750cc sio mchezo mchezo
 
Back
Top Bottom