Jamaa ni mwandishi mzur sana anajuaNi mnyarwanda pure kabisa na zamani alikuwa anaimba nyimbo za kikwao tu, (tafuta wimbo unaitwa icyambu, bonge la wimbo). But alikuja ku realize kwamba anajilimit sana kwa kuwa lugha yao haijulika na mataifa mengi. Ndio sababu alipoanza kuimba nyimbo za kiswahili kajulikana inchi nyingi. Waimbaji wengi wa Rwanda sasa hv wanaimba kiswahili, sababu audience ya kinyarwanda ni ndogo sana.
Warwanda asilimia 90 wanaongea kinyarwanda kisewahili sana sana ni Tz,kenya,Congo,na waganda wachache