Huyu Israel Mbonyi ni Mrwanda kweli?

Huyu Israel Mbonyi ni Mrwanda kweli?

Jamaa naona anaimba Pure Swahili Gospel kali sana ni muimbaji mzuri sana na anachonifurahisha ameacha lugha yake ya kinyarwanda kakichagua kiswahili kufikisha ujumbe wake last time nilijua ni Mtanzania


View: https://youtu.be/qI1yCpa4UFE?feature=shared

Mungu ambariki[emoji120]

Anaimba kiswahili ili kufikisha ujumbe kwa watu wengi na kupata wafuasi wengi wa nyimbo zake maana East Africa yote anaigusa ,na wazungumzaji wa kiswahili ni wengi zaidi East Africa kuliko kuimba kinyarwanda pekee.
 
Back
Top Bottom