Huyu Jaden Smith amekumbwa na nini?

Huyu Jaden Smith amekumbwa na nini?

Alikuwa yuko vizuri tu kama hapaView attachment 1453454akitoka na demu wake safiView attachment 1453460Mara mwonekano unabadilika
View attachment 1453465Mara tetesi za kuwa na mahusiano na wanaume kama huyu jamaaView attachment 1453452View attachment 1453456View attachment 1453463

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alitolewa kama kafala, mzee wake aliwabonda hao jamaa, mwanae akawaectia mashabiki kama mmoja wao, kumbe sio, ili mzee apate support ya kibiashara na kweli katoboa
 
Jamaa alitolewa kama kafala, mzee wake aliwabonda hao jamaa, mwanae akawaectia mashabiki kama mmoja wao, kumbe sio, ili mzee apate support ya kibiashara na kweli katoboa
Yap Kuna kipindi fulani Will alitoa negative comment kwa hao LGBTQ community jamaa Waka muawakia balaa .

Ilibaki kidogo tu will see blacklisted pale Hollywood .

Naona ilibidi wacheze karata zao vizuri ndio naomba wakajiexpose Jaden Ni gay

Ila Yule Willow Ni lesbo kabisa Yule

Same shit Kama mama yake tu ujanani akiwa na queen latifah[emoji44]

Yule Willow Majanga, sema ile familia inajua kucheza na akili zao. Movie mpya aliyotoa atapiga Pesa kama kawaida pamoja na Mkewe Jada
 
Mbona analiwa vizur tuu na akir na huyo uliempost ndio bwana ake

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Alikuwa yuko vizuri tu kama hapaView attachment 1453454akitoka na demu wake safiView attachment 1453460Mara mwonekano unabadilika
View attachment 1453465Mara tetesi za kuwa na mahusiano na wanaume kama huyu jamaaView attachment 1453452View attachment 1453456View attachment 1453463

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa sasa vjana wa kiume wanatamani kuwa watoto wa kike na hao watoto wa kike wasiokuwa na akili nzuri wanatamani kuwa watoto wa kiume. kazi sana dunia hii ya 3
 
Huyo dogo si nilisikia ame confirm kwamba Kisamvu kinapakuliwa
But karma never losses its adress, mshua wake kachezea sana mirefeji ya wenzake sasa naona karma inamua kufata tu adress yake
[/Q
Daaaah Astaghafulilah radhim wallah
 
Dogo alitaka kiki ya kuonekana soga ila ilizingua, suala la yeye kuwa punga sio kweli.
 
daaah iyo post ni wazi Taylor the Creator anambandua uyu chalii
 
Back
Top Bottom