Huyu jamaa akisema kitu ni kweli au kinakuwa

Huyu jamaa akisema kitu ni kweli au kinakuwa

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
Kwa mfano akisema wewe ni demu...kweli wewe ni demu na kama ulikuwa man unageuka kuwa demu kabisa. Mtagombana naye utajikuta unaanza andika kama demu au unamtukana kama demu.

Nimeona akiwasema watu wawili humu kuwa si mademu jamaa kadri wanavyojitetea kuwa wao si men ni mademu ndo wanadhihirisha wao kweli ni men ila wanatumia IDs kama za kidemu.

Kuna uzi mmoja alimkazia jamaa kuwa yeye ni demu jamaa akabisha mwishowe akaanza sound kama demu. Na watu wakaanza mtokea mwisho naona anapost kila siku habari za kidemu. Mara anasema ana makalio makubwa, mara anasema.ana lips tamu...

Komeo Lachuma ni kama ana ujinga flani hivi wa kichawi asije akakukomalia kitu. Unakuwa. Sijui ni mshirikina au ni nini.
 
Dahh! Nimecheka sana! 😂

Kama vipi aanze sasa kuwarudisha kina cocastic kwenye uanaume wao kama zamani kwa kuwatamkia “WEWE NI MWANAUME!”
 
Back
Top Bottom