Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
mshangazi ndio baltazarKuna mmoja anajiita mshangazi kumbe ni jianaume
Ha hahaMshangazi ni mwanamke na nilishapiga
Za kipapai hizo IDsKuna mmoja anajiita mshangazi kumbe ni jianaume
Inafikirisha !Ukiona me anatumia id ya ke, jua ni upinde
Rusha Bombo zilipuke zingi.Mda si mrefu damu itamwagika
TUsubirie mtanangeRusha Bombo zilipuke zingi.
Angalia pattern ya uandishi na support zake utaona ukoo wa panya๐TUsubirie mtanange
wanajuanaa haoAngalia pattern ya uandishi na support zake utaona ukoo wa panya๐
Vita haitakaa iishe Hadi Hamas wabadilishe dini.wanajuanaa hao
Wenyewe wanaita vita ya manenoVita haitakaa iishe Hadi Hamas wabadilishe dini.
Changamka mwanangu Gombana na jitu pasipoe humu ndani ...๐๐