Hapo Sasa!Unafuga mbwa ukitegemea mavi ya walevi
Serious na hali ilivyo ngumu nowadays mtu kajibana toka asubuhi walau jioni apate msosi flani tu wakumridhisha nafsi,. Mara anakutana na hao tena loohInaonyesha hao ni akina mbukwenyi,atawapa wangapi Wakati nae kanunua?
Nlikua fresh tu huku natafuna tu ile mifupa kama fisi, nlikua siipendi hiyo tabia yao ilikua inanikera mnooo, sijawahi ona tabia ya vile kwingine zaidi ya DodomaHahaha,. Ulikua unajiskiaje unavyomjibuππ π
Toa ndugu toa ndugu,ulichonacho,Mungu atakuona mpaka Rohoni mwakoΓ2!Wanakera bana yani ni kila ukikaa zako bar unapiga menu waje kuomba omba.
Siku nyingine nmelala zangu hadi mida ya saa nne bado nmeuchapa mara mlango unagongwa kutoka nakutana na kibibi cha kigogo eti naomba chai, nkamwambia chai hamna na gas ilikua imeisha hata sijapika, akasema naomba chochote........wagogo πππ
Wacha nikae Mzee!Mwenye tatizo ni huyo mama.anamtumia mtoto il aonewe huruma ili kupatiwa msaada.Ni sawa na wazee kupanda daladala imejaa halafu akimwona kijana amekaa kwenye kiti anachukia eti lazima apishwe wakati umeingia unaona kabisa imejaa.kama unataka kukaa kwenye kiti nunua gari Yako au usubiri ambayo haijajaa
πππππHao watu jau Sana kuna siku nilipitia mahala Kula ...of course ni bar halafu chakula pale ni ghali kidogo wakaja vijana kama watatu hivi wanataka sadaka ya kujenga msikiti...
Yaani wanapita meza Kwa meza walipofika kwangu nikamwambia Mimi ni mkristo na nafuga mbuzi katoliki na ndiyo njia yangu ya kupatia kipato...lahaula wakakomaa na vitisho vya hapa na pale kuhusu kiama eti niwape hivyo hivyo ...siyo kesi nikatoa buku mbili.
Kimbembe walifika meza ya jamaa mmoja mbona walikoma ...aliwapiga vifungu vya Qur'an wakabaki wameduwaa hawajui lolote...mwisho WA siku akawaita wezi ikabidi tuanze kudai pesa zetu tuliotoa
Mnatuonea akina mbukwenyi!,Darhiyo.Kama umeingia akilini mwangu
ππππToa ndugu toa ndugu,ulichonacho,Mungu atakuona mpaka Rohoni mwakoΓ2!
Halafu wao wanajionea kawaida tu hawawazi wala niniNlikua fresh tu huku natafuna tu ile mifupa kama fisi, nlikua siipendi hiyo tabia yao ilikua inanikera mnooo, sijawahi ona tabia ya vile kwingine zaidi ya Dodoma
Wanaharibu biashara sababu mteja atatoka hapo na hasira huku akilaani... Ombaomba nawaona kama wale wadada wanaosukana kwenye mlango wa chooWao wanalenga tu pesa .. wanajua watu wa aina hii wakija kwenye restaurant zao nyie wateja mtaingiwa na "roho ya huruma" na kuwanunulia chakula. Hii haifai kabisa
Wanapiga na hodi kabisaππππWanakera bana yani ni kila ukikaa zako bar unapiga menu waje kuomba omba.
Siku nyingine nmelala zangu hadi mida ya saa nne bado nmeuchapa mara mlango unagongwa kutoka nakutana na kibibi cha kigogo eti naomba chai, nkamwambia chai hamna na gas ilikua imeisha hata sijapika, akasema naomba chochote........wagogo πππ
Ndio, yani anapiga hodi kukiamsha akuombe chochote......sijui kama wako sawa vichwaniWanapiga na hodi kabisaππππ
Mimi nisingempa kabisa,binafsi nishajiwekea misingi yangu siwezi kamwe kumsaidia omba omba,hawa watu unakuta alishaumiza watu huko,sasa yuko kwenye malipo ya kitu alichokifanyaWewe unaona ni sahihi huyo mama kumpeleka huyo mtoto mezani kwa mteja namna hiyo?
Alafu mama anaonekana anataka hicho chakula cha jamaa kwa lazima ndio maana jamaa amejivika roho mbaya π
Wanajiendekeza sana ,.Ndio, yani anapiga hodi kukiamsha akuombe chochote......sijui kama wako sawa vichwani
Naweza kumsaidia nje huko barabarani lakini sio anifuate mezani akinitazama kama vile niliua ndugu zakeMimi nisingempa kabisa,binafsi nishajiwekea misingi yangu siwezi kamwe kumsaidia omba omba,hawa watu unakuta alishaumiza watu huko,sasa yuko kwenye malipo ya kitu alichokifanya
Kwa kweli.ππππ
Wimbo huu wakati wa kutoa sadaka, unafanya uende kutoa hata km hukua na nila. Lol