nbayoungboy never broken
JF-Expert Member
- Apr 20, 2025
- 383
- 372
Huwa anaupoza mwili ni sawa umepigwa na jua kalii unavuta coke baridii unahcje
Anasa haichagui Unafanya kazi Gani,mfuko wako tuu!Huyu jamaa anafanya kazi ya hatari sana,
Ajabu AKIPATA tu hela yote kwenda kuhonga ,
Kwani sisi wanaume shida ni Nini?
View attachment 3330335
Ndo maana anamuonea wivu mwanaume mwenzake anapohonga kula wanawake.Yani una mtalimbo alafu unajiita TAMU.
NINA WASI WASI