Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa yake kubwa ni umwambie aache kunywa hiyo Pombe haimtaki anywe ndio maana akinywa hiyo Pombe ana jinyea na kujikojolea mwilini mwake mwambie aache kunywa hiyo Pombe anywe Juice za Matunda, Juice za miwa kwa Bakhresa na kadhalika zitampa afya kuliko hiyo pombe................Kuna kijana tupo nae mtaani, tatizo lake kila akinywa pombe, akilala lazima ajinyee na kujikojolea. Je! Tatizo ni nini?