Huyu jamaa anajiita kiredio mbona ni Kama anaharibu mahusiano ya watu na kuleta ugomvi

Huyu jamaa anajiita kiredio mbona ni Kama anaharibu mahusiano ya watu na kuleta ugomvi

Ni maarufuku Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona masala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??

Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, me binafsi nimeshindwa kuwaelewa
 
Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??

Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, mm binafsi nimeshindwa kuwaelewa
Gen Z wana mfumo wao maisha ambao wahenga hatuelewi kabisa 😂
 
Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??

Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, mm binafsi nimeshindwa kuwaelewa
Si mshabiki wake wala sitizami sana content zake. But one thing ana expose ukweli, too bad ana expose watu wa tz ambao hawataki ukweli
Angekuwa nchi za nje angekuwa star
 
Back
Top Bottom