Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Ni maarufuku Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona masala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??
Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, me binafsi nimeshindwa kuwaelewa
Gen Z wana mfumo wao maisha ambao wahenga hatuelewi kabisa 😂Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??
Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, mm binafsi nimeshindwa kuwaelewa
mkuu ni unafiki unafichuliwaNi maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??
Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, mm binafsi nimeshindwa kuwaelewa
Si mshabiki wake wala sitizami sana content zake. But one thing ana expose ukweli, too bad ana expose watu wa tz ambao hawataki ukweliNi maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli??
Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, mm binafsi nimeshindwa kuwaelewa
Sijawai kujiunga Wala kuweka app yao kwenye device zangu.TikTok ni kwa ajili ya wapuuzi
USSR