Huyu jamaa anayejiita Cado Kitengo wazee wa Hip hop mnamwelewa?

Huyu jamaa anayejiita Cado Kitengo wazee wa Hip hop mnamwelewa?

Micasa lounge Ubungo alikuwa anakiamsha ipasavyo kwenye freestyle battle.
Ila kuna yule dogo mwingine anaitwa stany wa rhymes kama sikosei naye ni amsha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkubali sana cado kuna siku alibattle na jamaa micasa alivyoshinda akadondosha freestyle hapo ndo nilimkubali cado😂😂 jamaa kamtunza buku kaliokota kaingia nalo kwa freestyle dejay kazima mziki cado kapita nao😂😂
jamaa kwangu ni genius , lazima akushangaze na utacheka tu na hao wana wake ndio wanampendeza akihamia kwenye masofa kado hatapendeza😃
 

Attachments

  • 80903064_2646047882097672_1404635468494580888_n.mp4
    3.9 MB
Back
Top Bottom