I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Tuiombee simba ifikapo Misri mchezo wa marudiano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂
Jamani ile khabari ya ajari ya basi la mashabiki wa simba mkoa wa pwani hamja hisikia mie sina raha kabisa
Atafutwe?
😂😂Tayari anakagua Dawa ya kuulia magugu somewhere
Hii ndio maana ya ushabiki...💯
Tujuze mkuu poleni wapenzi wa soka.Jamani ile khabari ya ajari ya basi la mashabiki wa simba mkoa wa pwani hamja hisikia mie sina raha kabisa
Mie sio mpenzi wa soka basi tu nime umia, walikuwa waja kutizama mechi. Na waza familia zao tu.Tujuze mkuu poleni wapenzi wa soka.
Dah pole ndio ya duniaMie sio mpenzi wa soka basi tu nime umia, walikuwa waja kutizama mechi. Na waza familia zao tu.
Huzuni kwa kweli. Sema mchezo wa mpira unahitaji moyo mgumuMie sio mpenzi wa soka basi tu nime umia, walikuwa waja kutizama mechi. Na waza familia zao tu.
SureHuzuni kwa kweli. Sema mchezo wa mpira unahitaji moyo mgumu