[emoji23] [emoji23] Simba ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Mpaka ligi inaisha Kagere atakuwa amefunga magoli mengi peke yake kuliko magoli yote yatakayo kuwa yamefungwa na timu ya Yanga kwa ujumla
Pia ni hatari kwa afya za [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Thread inavirutubisho vya kila namna
Itabidi watulie tu
Ila ndo hivyo hawana jinsi.
Naye si mwingine bali ni Meddie Kagere a.k.a MK14. Mpaka sasa katika ligi zote dunia hii hakuna kama yeye. Kwanini? Ungana nami.
Huyu mnyama mpaka sasa kafunga goli 10 peke yake. Mchanganuo wa hizo goli ni kama ifuatavyo;
1. Goli 3 kafunga kwenye ligi kuu
2. Kombe la Kagame katupia goli 4
3. Katika michezo ya kirafiki katupia goli 2
4. Timu ya Taifa Rwanda huko katupia goli 1, ambalo naamini mwakani FIFA watamkabidhi tuzo yake ya goli bora la mwaka.
Just imagine, September hii tu jamaa ana goli 10, ikifika mwakani mwezi wa 5 ambapo ligi zitakua zinaisha si atakua katupia goli zaidi ya 107?
Huyu jamaa hakuna rekodi yoyote ambayo ataiacha salama, mfano;
1. 30/09/2018 jamaa anaenda kuvunja rekodi ya King Kibaden ya kutupia Hat-Trick dhidi ya Ndala iliyodumu miaka na miaka.
2. Si mpaka ligi iishe, ni hapo mwakani mwanzoni tu, Meddie Kagere atakua ni mchezaji pekee aliyewahi kufunga goli nyingi katika ligi kuu ya Tanzania.
3. Messi (Eeeeh, huyo huyo wa Barcelona) naye hataachwa salama. Ifikapo May mwakani, Kagere atakua ni binadamu pekee aliyewahi kufunga goli nyingi ndani ya msimu mmoja.
Huyo ndo Meddie Kagere.
"Aminini Nawaambia 30/09/2018 Baada ya Shoo ya Kagere Taifa.. Kuna Watu Watasahau Makwao" - sembo
Nikiripoti toka viyunga vya Kigali hapa Rwanda.. Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Malatu Voice)
Sawa Mkuu nasubiri.. Ila hata ikitokea japo hakuna kitu kama hicho.. Simba tunauwezo wa kuweka kikosi kimoja Taifa Stadium kikacheza na Ndala, na kingine Chamazi kikacheza na Azam kwa wakati mmoja na pote tukashinda kwa ushindi mzito. Hivyo hata ikitokea hivyo hakuna tatizo.Hiyo Septemba 30 Kagere hatacheza..subiri utaona
Hivi kule Gor Mahia record zake ziko vipi?Naye si mwingine bali ni Meddie Kagere a.k.a MK14. Mpaka sasa katika ligi zote dunia hii hakuna kama yeye. Kwanini? Ungana nami.
Huyu mnyama mpaka sasa kafunga goli 10 peke yake. Mchanganuo wa hizo goli ni kama ifuatavyo;
1. Goli 3 kafunga kwenye ligi kuu
2. Kombe la Kagame katupia goli 4
3. Katika michezo ya kirafiki katupia goli 2
4. Timu ya Taifa Rwanda huko katupia goli 1, ambalo naamini mwakani FIFA watamkabidhi tuzo yake ya goli bora la mwaka.
Just imagine, September hii tu jamaa ana goli 10, ikifika mwakani mwezi wa 5 ambapo ligi zitakua zinaisha si atakua katupia goli zaidi ya 107?
Huyu jamaa hakuna rekodi yoyote ambayo ataiacha salama, mfano;
1. 30/09/2018 jamaa anaenda kuvunja rekodi ya King Kibaden ya kutupia Hat-Trick dhidi ya Ndala iliyodumu miaka na miaka.
2. Si mpaka ligi iishe, ni hapo mwakani mwanzoni tu, Meddie Kagere atakua ni mchezaji pekee aliyewahi kufunga goli nyingi katika ligi kuu ya Tanzania.
3. Messi (Eeeeh, huyo huyo wa Barcelona) naye hataachwa salama. Ifikapo May mwakani, Kagere atakua ni binadamu pekee aliyewahi kufunga goli nyingi ndani ya msimu mmoja.
Huyo ndo Meddie Kagere.
"Aminini Nawaambia 30/09/2018 Baada ya Shoo ya Kagere Taifa.. Kuna Watu Watasahau Makwao" - sembo
Nikiripoti toka viyunga vya Kigali hapa Rwanda.. Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Malatu Voice)
Angalia mwisho wa msimu usije potelea sehemu isiyo na mawasiliano kama kawaida yako.Mkuu msimu huu.. Hawana Pakutokea.
Hao wanajuana wenyewe. Rage anawajua sana ndugu zake.Hii timu ya Tanzania inayovaa jezi nyekundu juzi wakati timu yetu ya Taifa taifa stars inacheza na Uganda ndio nilijua kuwa hawana akili timamu, niliunganisha na lile tuykio waliovunja viti vya uwanja wa TAIFA ambayo nchi imetumia fedha nyingi kununua, yaani wao WAKAWA WANASHANGILIA UGANDA kisa kocha aliwaadabisha wachezaji wao waliochelewa kuripoti kambini kwa utovu wa nidhamu??? yaani wakawa wanamshangilia okwi ni murshid??? hawaini kwa kukosa uzalendo
Sawa Mkuu nasubiri.. Ila hata ikitokea japo hakuna kitu kama hicho.. Simba tunauwezo wa kuweka kikosi kimoja Taifa Stadium kikacheza na Ndala, na kingine Chamazi kikacheza na Azam kwa wakati mmoja na pote tukashinda kwa ushindi mzito. Hivyo hata ikitokea hivyo hakuna tatizo.
Si Makombo tena?Sawa...lakini kwa Yanga na Simba usipime matokeo kwa kuona timu moja ni dhaifu na nyingine ina nguvu...inawezekana pengine wewe ni mshabiki kijana na hujui historia ya timu hizi...upo mwaka Simba alikuwa anashushwa daraja kama akifungwa na Yanga..ngoma ikapigwa uwanja wa taifa sasa UHURU...mwisho wa mechi Simba mbili bila majibu ..magoli ya John Makelele..goli moja amefungwa Sahau kambi golikipa wa Yanga katika mazingira ya kutatanisha..amedaka mpira akamtupia Makelele na bila ajizi akafunga kwa Sahau kutobolewa tobo..nilikuwepo uwanja wa taifa siku ile...tehteheh...usishangae Septemba 30 Mahadhi akaibuka shujaa...