Si Makombo tena?
Mechi za Simba na Yanga huzalisha mashujaa wasiotarajiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si Makombo tena?
Mkuu upo.. Msimu huu tunaendeleza lile party letu la msimu uliopita.Hivi kule Gor Mahia record zake ziko vipi?
Msimu Uliopita alitupia ngapi?
Au Bongo kuna mabeki vilaza sana?
Tusubiri magoli yake Tanga, Majimaji, Nangwanda, Singida, Mbeya ili tujue hatma yake.
Kenya msimu wa ligi uliopita alifunga goli 8 tu.
2018 Kenyan Premier League Top Scorers
ASUBUHI GAZETI MFANYAKAZI WAKAANDIKA " SAHAU HATASAHAU"Sawa...lakini kwa Yanga na Simba usipime matokeo kwa kuona timu moja ni dhaifu na nyingine ina nguvu...inawezekana pengine wewe ni mshabiki kijana na hujui historia ya timu hizi...upo mwaka Simba alikuwa anashushwa daraja kama akifungwa na Yanga..ngoma ikapigwa uwanja wa taifa sasa UHURU...mwisho wa mechi Simba mbili bila majibu ..magoli ya John Makelele..goli moja amefungwa Sahau kambi golikipa wa Yanga katika mazingira ya kutatanisha..amedaka mpira akamtupia Makelele na bila ajizi akafunga kwa Sahau kutobolewa tobo..nilikuwepo uwanja wa taifa siku ile...tehteheh...usishangae Septemba 30 Mahadhi akaibuka shujaa...
Anaitwa Pascal Kabombe a.k.a Mama Mkanye Mwanao. Huyu jamaa msimu huu ataweka naye rekodi yake duniani.. Atakuwa mtangazaji aliyetangaza magoli mengi katika msimu mmoja duniani.. HahahaHi yule mtangazaji anaesemaga "MEDIE KAGEREEEEE KAGEREEE KAGEREEE KAGEREEEEEE KAGEREEEE" Ni nani yule?
ASUBUHI GAZETI MFANYAKAZI WAKAANDIKA " SAHAU HATASAHAU"
Hatari baba makelele alitutoa unuonge lakini Sahau kambi hakulala nyumbaniSawa kabisa...utani huu uliendelea kwa miaka mingi
Dah hstari sanaAnaitwa Pascal Kabombe a.k.a Mama Mkanye Mwanao. Huyu jamaa msimu huu ataweka naye rekodi yake duniani.. Atakuwa mtangazaji aliyetangaza magoli mengi katika msimu mmoja duniani.. Hahaha
Mikoani kuna suala la ubora wa viwanja.Mkuu upo.. Msimu huu tunaendeleza lile party letu la msimu uliopita.
Kuhusu MK14.. Mkuu unataka kusema Prisons na Mbeya City zina beki mbovu ukilinganisha na Madhare United au Kakamega FC.. Na vipi kuhusu APR (nadhani ile beki yake unaikumbuka) aliowalaza mapema katika Kagame Cup?
Achana na ule mpira ataokabidhiwa Jumamosi baada ya kufunga Hat-Trick.. 30/09/2018 atawathibitishia yeye ni nani.
1. Sio TIIIIIIIIIIVIIIIIIIIIII ni AI-TI-VIIIIIIIIIIIIIIIIIII...Naye si mwingine bali ni Meddie Kagere a.k.a MK14. Mpaka sasa katika ligi zote dunia hii hakuna kama yeye. Kwanini? Ungana nami.
Huyu mnyama mpaka sasa kafunga goli 10 peke yake. Mchanganuo wa hizo goli ni kama ifuatavyo;
1. Goli 3 kafunga kwenye ligi kuu
2. Kombe la Kagame katupia goli 4
3. Katika michezo ya kirafiki katupia goli 2
4. Timu ya Taifa Rwanda huko katupia goli 1, ambalo naamini mwakani FIFA watamkabidhi tuzo yake ya goli bora la mwaka.
Just imagine, September hii tu jamaa ana goli 10, ikifika mwakani mwezi wa 5 ambapo ligi zitakua zinaisha si atakua katupia goli zaidi ya 107?
Huyu jamaa hakuna rekodi yoyote ambayo ataiacha salama, mfano;
1. 30/09/2018 jamaa anaenda kuvunja rekodi ya King Kibaden ya kutupia Hat-Trick dhidi ya Ndala iliyodumu miaka na miaka.
2. Si mpaka ligi iishe, ni hapo mwakani mwanzoni tu, Meddie Kagere atakua ni mchezaji pekee aliyewahi kufunga goli nyingi katika ligi kuu ya Tanzania.
3. Messi (Eeeeh, huyo huyo wa Barcelona) naye hataachwa salama. Ifikapo May mwakani, Kagere atakua ni binadamu pekee aliyewahi kufunga goli nyingi ndani ya msimu mmoja.
Huyo ndo Meddie Kagere.
"Aminini Nawaambia 30/09/2018 Baada ya Shoo ya Kagere Taifa.. Kuna Watu Watasahau Makwao" - sembo
Nikiripoti toka viyunga vya Kigali hapa Rwanda.. Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Malatu Voice)