Huyu Jamaa Hakuna Rekodi Atakayoiacha Salama!

Mkuu upo.. Msimu huu tunaendeleza lile party letu la msimu uliopita.
Kuhusu MK14.. Mkuu unataka kusema Prisons na Mbeya City zina beki mbovu ukilinganisha na Madhare United au Kakamega FC.. Na vipi kuhusu APR (nadhani ile beki yake unaikumbuka) aliowalaza mapema katika Kagame Cup?
Achana na ule mpira ataokabidhiwa Jumamosi baada ya kufunga Hat-Trick.. 30/09/2018 atawathibitishia yeye ni nani.
 
Mechi za Simba na Yanga huzalisha mashujaa wasiotarajiwa
Haha.. Kama ikiwa hivyo kweli.. Naona Salamba, Chama na Dilunga wakisimika ufalme wao. Kwa upande wa 2 naona benchi zima la ufundi likitupiwa virago baada ya mechi.
 
Hi yule mtangazaji anaesemaga "MEDIE KAGEREEEEE KAGEREEE KAGEREEE KAGEREEEEEE KAGEREEEE" Ni nani yule?
 
ASUBUHI GAZETI MFANYAKAZI WAKAANDIKA " SAHAU HATASAHAU"
 
Hi yule mtangazaji anaesemaga "MEDIE KAGEREEEEE KAGEREEE KAGEREEE KAGEREEEEEE KAGEREEEE" Ni nani yule?
Anaitwa Pascal Kabombe a.k.a Mama Mkanye Mwanao. Huyu jamaa msimu huu ataweka naye rekodi yake duniani.. Atakuwa mtangazaji aliyetangaza magoli mengi katika msimu mmoja duniani.. Hahaha
 
Anaitwa Pascal Kabombe a.k.a Mama Mkanye Mwanao. Huyu jamaa msimu huu ataweka naye rekodi yake duniani.. Atakuwa mtangazaji aliyetangaza magoli mengi katika msimu mmoja duniani.. Hahaha
Dah hstari sana
 
Meddie Kagere anajituma sana yule jamaa
Kuna mashabiki wa Ndala wanadai jamaa ni 'babu'.. Sasa si bora uwe na babu kama huyu ambaye anakupa matokeo mda wowote, tofauti na kua na kina Ajibu au Matheo Antony ambao ni mizigo.
 
Mikoani kuna suala la ubora wa viwanja.
 
Mikoani kuna suala la ubora wa viwanja.
Hivyo viwanja ndo anvipenda sasa.. Kwenye ngao ya jamii pale jijini Mwanza alituonjesha kidogo. Alafu viwanja vya Kenya havina tofauti na vya kwetu.. Naamini ataendelea tu kuuwasha moto.
 
Huu mwandiko umefanana na wa banyamulenge fulani mwenye ID ya dawa.
 
FIFA IPI YA BONGO AU MAMBELE
Mkuu hizo FIFA sizijui za Bongo au Mambele sizifahamu. Nachojua mimi mwakani mwezi wa nane, Meddie Kagere atakua akipokea tuzo yake toka kwa FIFA ya Infantino.
 
1. Sio TIIIIIIIIIIVIIIIIIIIIII ni AI-TI-VIIIIIIIIIIIIIIIIIII...
2. Sio Malatu ni Marato.
Kuwa makini kijana.
 
1. Sio TIIIIIIIIIIVIIIIIIIIIII ni AI-TI-VIIIIIIIIIIIIIIIIIII...
2. Sio Malatu ni Marato.
Kuwa makini kijana.
Hahaha.. Sawa Mkuu.. Nitakua makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…