Huyu Jamaa Hakuna Rekodi Atakayoiacha Salama!

Kagere atakata pumzi mapema tu kama Dan Sserunkuma..mark my words
 
Huyu jamaa sijui kala la wapi leo?
 
Huyu jamaa sijui kala la wapi leo?
Hata mimi huyu MK14 simuelewi kala ya wapi?
1. Mechi ya kwanza goli 1
2. Mechi ya pili goli 2
3. Mechi ya tatu dhidi ya Ndanda goli 3
Na countdown inaendelea..
Sasa Ndala pigeni hesabu mtakutane nae akiwa kacheza mechi ya ngapi.
NB: Idadi ya mechi za Simba SC = Idadi ya magoli anayofunga MK14 katika mechi hiyo
 
Wewe ni shida......
 
Gazeti la Lete Raha likaandika,"Bwana Harusi aoa Simba mara mbili jioni"Alikuwa ni Idd Moshi mnyamwezi.
 
Kumsifu mumeo ni raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…