LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #21
Muislamu ana amini vitabu vinne :Hakuna swali hapo sala hakuna Muislam aliyetajwa.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
1. Taurati.
2. Zaburi.
3. Injili na
5. Qur'aan Tukufu.
So kwa kuitaja Biblia na muislamu ametajwa in disguise.
Umeelewa ?