Huyu Jamaa kweli kafanana na Diamond Platnumz

Wamefanana japo tatizo hawana ubunifu hebu amuangalie yule mwenzie aliyejiitaga hamorapa ameishia wapi zaidi ya kuwa kituko tu.

Na hapo si ajabu mwishowe akataka kuishi hadi aina ya maisha anayoishi Mondi.
 
Wamefanana japo tatizo letu ndo hili hawana ubunifu hebu amuangalie yule mwenzie aliyejiitaga hamorapa ameishia wapi zaidi ya kuwa kituko tu.

Na hapo si ajabu mwishowe akataka kuishi hadi aina ya maisha anayoishi Mondi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…