Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Atakuwa hajamboBaba yake na Keagan hajambo hapo fasi ya aduas?
🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa hajamboBaba yake na Keagan hajambo hapo fasi ya aduas?
Ila si umeona huyo manzi ulivyotaka kumbusu mondi akakwepa busu lake hawa wasanii mnawaonea hao mademu ndio wanakuwa na shobo naoMme wa huyo Sarah anajiskiaje mke kupandishwa jukwaani na kushikwa shikwa mgongo na huyo muhuni
Huku tumenyuka suti za kihasibuWanaume wa Dar mnapata wapi huo muda?
Huo muda wanaupata Dar!Wanaume wa Dar mnapata wapi huo muda?
Wanapata wakiwa kinondoni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa Dar mnapata wapi huo muda?
Temeke mnazo singelii, vigoma na shughurii.Kinondoni hao, Temeke hatuna izo mambo.