Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Bila kinyongo wala unafiki mwanetu anajua kutafuta pesa na kujituma,show tatu ndani ya siku tatu mfululizo 30 Nov Iringa,01 Dec Thika,Kenya,02 Dec Morogoro,hata kama tunakuchukia lakini Hongera sana Mond,fainale uzeeni🤝🤝🤝