Huyu jamaa panapostahili tumpe heshima yake...

Huyu jamaa panapostahili tumpe heshima yake...

Kwahiyo hapo anakuwa hajafanyakazi?!

Naww ni GT
Na wewe kweli ni GT? Ndio maana nikauliza kuna mtu hasiyefanya kazi mpaka Domo aje kusifiwa ndio anafanya kazi? Nimetoa mfano kuna watu wanapiga kazi 8hrs bila kumpumzika na mwaka mzima ndio daily routine,what so special kwa domo ambaye mda wote yupo kwenye gari na ndege na hotelini halafu show 2hrs tu ndio aje kumsifia? Na wewe kweli ni GT umeshindwa kuona mantiki yangu? Acheni Utimu MAVI mnajiaibisha.
 
Kweli wewe Bashite watu wanapiga kazi 24/7 analala masaa mawili na hiyo mwaka mzima mtu anaenyeka,sasa kumsifu domo kufanya show tatu tena za masaa mawili? yaani anatoka hotelini hadi kwenye show na gari,akimaliza masaa mawili anarudhishwa hotelini na gari,analala/anapumzika kisha kesho yake anapelekwa aiport na gari anapanda ndege hadi hotelini,anapumzika hotelini mpaka saa 7 anaenda kwenye show kwa gari anapiga masaa mawili anarudi hotelini halafu ndio unasema anapiga kazi?

Ukitaka kujua watu wanaopiga kazi nenda site mtu anabeba ndoo ya zege kwa masaa 6 mfululizo,mtu anatindua lami masaa matatu nonstop na anapiga kazi kwa miaka mitatu mpaka ghorofa linamalizika.

Kuna vitu vingine sio vya kuropoka hata kama unalipwa na domo kuja kumsifia humu....sio wote mabashite wanaoweza kuvumilia upuuzi.
U got nothing rather than shithole mind,jealous,hate like ur dada stole from you a hub from WCB...zamani nilikuwa nakuona nigger flan hivi but these days i've come to realize that u'r very weak hidding behind strong name King Kong,this time no more word with you light sweet freaking King Kong😂😂 have a great sunday👋
 
kunizaa kunisomesha na mpka sasa nina kazi na maisha mazuri tu,sio ya kuunga unga ni ujiko tosha kwa mshua wangu,kazi inabaki kwako kwamba unakuja kugungua na kukomenti kwenye uzi wa kumfagilia mwanaume mwenzangu,kwa nini hukupita kimya kimya? machoko mko wengi sana town hapa.
Anatakiwa ajiulize kwann hajasifiwa yy?? Kwahyo unataka amsifie Mwanamke au?? Acha uchoko pambana na ww utasifiwa😎😎
 
U got nothing rather than shithole mind,jealous,hate like ur dada stole from you a hub from WCB...zamani nilikuwa nakuona nigger flan hivi but these days i've come to realize that u'r very weak hidding behind strong name King Kong,this time no more word with you light sweet freaking King Kong😂😂 have a great sunday👋
Mond atakuwa anawakula, siyo kwa kumshobokea hivyo, naungana na waliotangulia kushangaa mnavyomsifia mwanaume mwenzetu kwa anapiga kazi, wewe unapiga nini au unapigwa kazi? Unless we mwenyewe uwe ndo mond umejificha kwa hiyo ID.

Cc King Kong III
 
Sometimes hizi roho zetu mbaya vijana watanzania zinatufanya kuendelea kuwa masikini na hatupendi kujifunza kupitia walioendelea na kufanikwa.

Ujue kwa wenzetu mbele wana kipindi kinaitwa MTV cribs, mara nyingi masupastaa wa Hollywood wanaonyesha mijengo na magari yao, kile kipindi hawafanyi kwa ajili tu ya wale jamaa kuonyesha utajiri, wanafanya vile ili ww mwenye kipaji kama kile, uwe inspired na ujitume ili uweze kufanikwa kama wale.

Sasa sijaona kosa la mleta uzi kwani Diamond ana hustle so tumsifie sababu anachofanya ni kizuri na tukichukue na kukifanya katika maisha yetu na tumtumie kama kielelezo cha kijana anayejituma so tujifunze kupitia kwake (japokuwa si lazima kama ww unaona hakikupendezi) .

Ila mkae mkijua kila binadam ana wakati wake wa kushine, ukifika wakati wake hata kama watu hawatompongeza na kumsifia, basi mawe yatapaza sauti kumpongeza na kumsifia, huwezi zuia ipo hivyo kwa kila kiumbe anayejituma kufanya kazi kwa bidii so don't hate be inspired so Diamond huu ni wakati wake wa kung'aa so si shangai watu kumsifia.
 
Yaani mtoto wa kiume unamfagilia mwanaume mwenzako?
Why usimfagilie baba yako mzazi?
Unamashaka na uanaume wako mkuu.
Kumsifu mtu anaefanya vzur kunakuondolea nini? au unadhani huyo babako unaetaka asifiwe ni mwanamke? Na yeye si mwanaume kama wengine au
 
Mond atakuwa anawakula, siyo kwa kumshobokea hivyo, naungana na waliotangulia kushangaa mnavyomsifia mwanaume mwenzetu kwa anapiga kazi, wewe unapiga nini au unapigwa kazi? Unless we mwenyewe uwe ndo mond umejificha kwa hiyo ID.

Cc King Kong III
Kabisa maana yaani kila kitu anachofanya DOmo wao wanafungua as if ni kama kitu kipya,yaani anamsifia Domo kupiga show wakati ndio kazi yake hiyo ni sawa na mtu anisifie mimi natengeneza matanuri 10 ya mkaa wakati ndio kazi yangu.

Anasema Domo anapiga kazi nahisi yeye "ANAPIGWA" Kazi 😀😀😀😀😀😀😀.
 
niliona video ya hii ndege, mwanzo nilidhani ni Gulfstream G500 lakini baada ya kuangalia kwa umakini nakuta pangaboi zinazunguka nikasema huyu bado sana.
 
Back
Top Bottom