Huyu jamaa panapostahili tumpe heshima yake...

Sawa, ila umekuwa selective. Kuna zile comments zingine negative hujazionesha hapo....!
 
Sawa, ila umekuwa selective. Kuna zile comments zingine negative hujazionesha hapo....!
hizo ni za page tatu za kwanza huko kwingine sjasoma,zilete ikikupendeza
 
Yaani mtoto wa kiume unamfagilia mwanaume mwenzako?
Why usimfagilie baba yako mzazi?
kunizaa kunisomesha na mpka sasa nina kazi na maisha mazuri tu,sio ya kuunga unga ni ujiko tosha kwa mshua wangu,kazi inabaki kwako kwamba unakuja kugungua na kukomenti kwenye uzi wa kumfagilia mwanaume mwenzangu,kwa nini hukupita kimya kimya? machoko mko wengi sana town hapa.
 
wew ndio choko sasa why unamfagilia dume mwenzio au unataka akupumulie kisogoni?
 
Hahaha basi ngoja nimfagilie mama ako anavyojua kucheza "Katika"
🤔😬😬😬Aisee hivi ni kwanini kwenye mautofauti yenu huwa mna waingiza wakina mama tena kwa dharau kosa kuwaleta Duniani nyie KIMA.
 
Kuna jitu linaona wivu diamond kusifiwa
 
Kuna majitu yamenuna na midomo yameweka kama Vyura
 
🤔😬😬😬Aisee hivi ni kwanini kwenye mautofauti yenu huwa mna waingiza wakina mama tena kwa dharau kosa kuwaleta Duniani nyie KIMA.
adui usimchagulie silaha,hata wewe ukizingua nakupa kubwa...kima mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…