Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
- Thread starter
-
- #41
nae huyo asikuumize kichwaπππKwahiyo hapo anakuwa hajafanyakazi?!
Naww ni GT
Na wewe kweli ni GT? Ndio maana nikauliza kuna mtu hasiyefanya kazi mpaka Domo aje kusifiwa ndio anafanya kazi? Nimetoa mfano kuna watu wanapiga kazi 8hrs bila kumpumzika na mwaka mzima ndio daily routine,what so special kwa domo ambaye mda wote yupo kwenye gari na ndege na hotelini halafu show 2hrs tu ndio aje kumsifia? Na wewe kweli ni GT umeshindwa kuona mantiki yangu? Acheni Utimu MAVI mnajiaibisha.Kwahiyo hapo anakuwa hajafanyakazi?!
Naww ni GT
U got nothing rather than shithole mind,jealous,hate like ur dada stole from you a hub from WCB...zamani nilikuwa nakuona nigger flan hivi but these days i've come to realize that u'r very weak hidding behind strong name King Kong,this time no more word with you light sweet freaking King Kongππ have a great sundayπKweli wewe Bashite watu wanapiga kazi 24/7 analala masaa mawili na hiyo mwaka mzima mtu anaenyeka,sasa kumsifu domo kufanya show tatu tena za masaa mawili? yaani anatoka hotelini hadi kwenye show na gari,akimaliza masaa mawili anarudhishwa hotelini na gari,analala/anapumzika kisha kesho yake anapelekwa aiport na gari anapanda ndege hadi hotelini,anapumzika hotelini mpaka saa 7 anaenda kwenye show kwa gari anapiga masaa mawili anarudi hotelini halafu ndio unasema anapiga kazi?
Ukitaka kujua watu wanaopiga kazi nenda site mtu anabeba ndoo ya zege kwa masaa 6 mfululizo,mtu anatindua lami masaa matatu nonstop na anapiga kazi kwa miaka mitatu mpaka ghorofa linamalizika.
Kuna vitu vingine sio vya kuropoka hata kama unalipwa na domo kuja kumsifia humu....sio wote mabashite wanaoweza kuvumilia upuuzi.
Kwani kumpa pongezi kwa bidii anayoifanya chibu dangote kunamuondolea jinsia ya kiume. Muda mwingine tuwe waungwana. Anastahili kupongezwa ili na vijana wengine wapige kazi kwa bidii waache kulalamika mtaani.Yaani mtoto wa kiume unamfagilia mwanaume mwenzako?
Why usimfagilie baba yako mzazi?
So ww haupo hvyo km ni hvyo hongera kwa anaekumiliki!Sio kujimegea ndio ukweli
Asante kwa niabaSo ww haupo hvyo km ni hvyo hongera kwa anaekumiliki!
Bonge la pointVijana wengi tunatafuta pesa ujanani tukizipata tunakuja kuzitumia kulinda afya zetu uzeeni.
Kazi nzuri ila afya pia muhimu.
Anatakiwa ajiulize kwann hajasifiwa yy?? Kwahyo unataka amsifie Mwanamke au?? Acha uchoko pambana na ww utasifiwaππkunizaa kunisomesha na mpka sasa nina kazi na maisha mazuri tu,sio ya kuunga unga ni ujiko tosha kwa mshua wangu,kazi inabaki kwako kwamba unakuja kugungua na kukomenti kwenye uzi wa kumfagilia mwanaume mwenzangu,kwa nini hukupita kimya kimya? machoko mko wengi sana town hapa.
Mond atakuwa anawakula, siyo kwa kumshobokea hivyo, naungana na waliotangulia kushangaa mnavyomsifia mwanaume mwenzetu kwa anapiga kazi, wewe unapiga nini au unapigwa kazi? Unless we mwenyewe uwe ndo mond umejificha kwa hiyo ID.U got nothing rather than shithole mind,jealous,hate like ur dada stole from you a hub from WCB...zamani nilikuwa nakuona nigger flan hivi but these days i've come to realize that u'r very weak hidding behind strong name King Kong,this time no more word with you light sweet freaking King Kongππ have a great sundayπ
Unamashaka na uanaume wako mkuu.Yaani mtoto wa kiume unamfagilia mwanaume mwenzako?
Why usimfagilie baba yako mzazi?
Kabisa maana yaani kila kitu anachofanya DOmo wao wanafungua as if ni kama kitu kipya,yaani anamsifia Domo kupiga show wakati ndio kazi yake hiyo ni sawa na mtu anisifie mimi natengeneza matanuri 10 ya mkaa wakati ndio kazi yangu.Mond atakuwa anawakula, siyo kwa kumshobokea hivyo, naungana na waliotangulia kushangaa mnavyomsifia mwanaume mwenzetu kwa anapiga kazi, wewe unapiga nini au unapigwa kazi? Unless we mwenyewe uwe ndo mond umejificha kwa hiyo ID.
Cc King Kong III