Huyu jamaa sijawahi kumuelewa tangu nimemsikia

Huyu jamaa sijawahi kumuelewa tangu nimemsikia

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,882
Reaction score
5,896
Najaribu kumlinganisha Tajiri wa Zimbabwe aliyefariki kwenye ajali ya ndege na matajiri wa Tanzania na duniani ni kama vitu viwili tofauti.

Wengi ni kama wachumi na wabahiri, ila huyu jamaa ni kama utajiri wake ni wa kugawa vitu vya thamani kubwakubwa kwa watu wa kawaida. Yaani utajiri wa matumizi na matanuzi.

Nimemfollow instagram lakini karibu contents zake zote ni za kugawa zawadi na matanuzi.

Wakati naendelea kumjifunza ameondoka. Sijawahi kumuelewa huyu tajiri. Msema kweli mpenzi wa Mungu au Allah
 
Back
Top Bottom