Elections 2010 Huyu Jamaa wa Synovate kweli amekanusha hapa (Video)?

Elections 2010 Huyu Jamaa wa Synovate kweli amekanusha hapa (Video)?

ha ha ha ha mafisadi hadi kwenye poll? usishangae wanatoa poll tarehe 25/10 wakisema kuwa JK anaongoza kwa asilimia 95
 
ndicho wanachosubiria; ila Mbowe kafanya jambo la maana hata utafiti wao ukichakachuliwa it will be easy to say; Synovate mali ya CCM; so refute the results as i know will have directives kama zile za mahimbo
 
SYNOVATE wamebanwa, ingawa ni taasisi huru, lakini wanasita kuachia hayo matokeo...habari za ndanio ni kwamba yamemkaanga JK..
 
Back
Top Bottom