M Mwafrika JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,490 Reaction score 229 Sep 21, 2010 #21 ha ha ha ha mafisadi hadi kwenye poll? usishangae wanatoa poll tarehe 25/10 wakisema kuwa JK anaongoza kwa asilimia 95
ha ha ha ha mafisadi hadi kwenye poll? usishangae wanatoa poll tarehe 25/10 wakisema kuwa JK anaongoza kwa asilimia 95
M Malunde-Malundi JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 1,288 Reaction score 131 Sep 21, 2010 #22 ndicho wanachosubiria; ila Mbowe kafanya jambo la maana hata utafiti wao ukichakachuliwa it will be easy to say; Synovate mali ya CCM; so refute the results as i know will have directives kama zile za mahimbo
ndicho wanachosubiria; ila Mbowe kafanya jambo la maana hata utafiti wao ukichakachuliwa it will be easy to say; Synovate mali ya CCM; so refute the results as i know will have directives kama zile za mahimbo
Mdau JF-Expert Member Joined Mar 29, 2008 Posts 1,789 Reaction score 473 Sep 22, 2010 #23 SYNOVATE wamebanwa, ingawa ni taasisi huru, lakini wanasita kuachia hayo matokeo...habari za ndanio ni kwamba yamemkaanga JK..
SYNOVATE wamebanwa, ingawa ni taasisi huru, lakini wanasita kuachia hayo matokeo...habari za ndanio ni kwamba yamemkaanga JK..