Huyu jamaa yupo vizuri

Huyu jamaa yupo vizuri

Hata akipewa **** na Beyonce atabakia kuwa mchekeshaji wa kawaida tu
 
Huyu Erick Omond ana mbavu kama nyuzi za gitaa (just kidding)
 
Mamy K tuachie hyo miili ya kina Erick Omondi wengine ndo swaga zetu yaani wanatufanya tu come😀😀

Akuu mwenzangu naogopa hizo mbavu zitachomoka zinichome.
Ukitaka kumkanda bae wako kama unapapasa kuni?
 
Back
Top Bottom