mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Si mnakumbuka alikuwa analalamika kupewa ammunitions/risasi, mabomu, mizinga kidogo!! Alikuwa ameshaanza kutokuaminika. Kwa hiyo ili asiwe na lundo kubwa la silaha alikuwa anapewa kidogo tu kinachomtosha kwenye uwanja wa mapambano.
Hakuwa anaaminika tena kutokana na kulalamikia makamanda wakuu wa majeshi ya urusi!! Kwa hiyo hakupewa dhamana nyingine baada ya kuwa amefanikiwa kuteka Bakhmut!! Wakampa siasa kuwa majeshi yake yapumzike kwanza!! Yalipopumzishwa akapewa dozi ya pili kwa, wapiganaji wa Wagner waingie mkataba na wizara ya ulinzi ya urusi, wasiwe moja kwa moja chini ya Wagner!
Lengo ni kumtenga taratibu!! Hapo ndipo aliposhtuka na kukataa!! Tayari Wagner hawakuwa na ammunitions za kuwatosha kuendesha mapambano na jeshi la urusi kwa muda mrefu!! Ni kweli wana uzoefu lakini bado kwa ni maji sana kupambana na PUTIN!
Rais wa Belarus akatumwa amwambie ukweli: Chagua kuendelea na uasi lakini ndio itakuwa mwisho wako, au achana na Urusi nitakuombea msamaha na kukupa nafasi ya kuhamia Belarus na kukuruhusu kuendeleza kampuni yako ya ulinzi!! Mwenyewe akanyosha mikono na kuamua kuachana na uasi na kwenda uhamishoni!!
Urusi ilijizuia sana ili kuepusha mauaji mengi ya askari na raia na ingekuwa aibu sana na maadui wa urusi kina MK254 wangeshangilia sana!! Lakini kama angekataa kusalimu amri ungekuwa ndio mwisho wake, pamoja na kwamba angesababisha maafa makubwa!!
Halafu kumbe hili jamaa ni jambazi na liliwahi kufungwa miaka 9.

- Prigozhin received his first criminal conviction aged 18, later serving nine years in jail for robbery and theft. Once released, he opened a hot dog stand in the 1990s