lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Tulikua tuna vikao vingi,tukitathmini Hali.😀Mlikua wapi Pro Russia mlipotea kabsa mme anza kutoka mafichoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikua tuna vikao vingi,tukitathmini Hali.😀Mlikua wapi Pro Russia mlipotea kabsa mme anza kutoka mafichoni
👊They messed with the wrong guy
ukiripoti kutoka Kremlin...Si mnakumbuka alikuwa analalamika kupewa ammunitions/risasi, mabomu, mizinga kidogo!! Alikuwa ameshaanza kutokuaminika. Kwa hiyo ili asiwe na lundo kubwa la silaha alikuwa anapewa kidogo tu kinachomtosha kwenye uwanja wa mapambano.
Hakuwa anaaminika tena kutokana na kulalamikia makamanda wakuu wa majeshi ya urusi!! Kwa hiyo hakupewa dhamana nyingine baada ya kuwa amefanikiwa kuteka Bakhmut!! Wakampa siasa kuwa majeshi yake yapumzike kwanza!! Yalipopumzishwa akapewa dozi ya pili kwa, wapiganaji wa Wagner waingie mkataba na wizara ya ulinzi ya urusi, wasiwe moja kwa moja chini ya Wagner!
Lengo ni kumtenga taratibu!! Hapo ndipo aliposhtuka na kukataa!! Tayari Wagner hawakuwa na ammunitions za kuwatosha kuendesha mapambano na jeshi la urusi kwa muda mrefu!! Ni kweli wana uzoefu lakini bado kwa ni maji sana kupambana na PUTIN!
Rais wa Belarus akatumwa amwambie ukweli: Chagua kuendelea na uasi lakini ndio itakuwa mwisho wako, au achana na Urusi nitakuombea msamaha na kukupa nafasi ya kuhamia Belarus na kukuruhusu kuendeleza kampuni yako ya ulinzi!! Mwenyewe akanyosha mikono na kuamua kuachana na uasi na kwenda uhamishoni!!
Urusi ilijizuia sana ili kuepusha mauaji mengi ya askari na raia na ingekuwa aibu sana na maadui wa urusi kina MK254 wangeshangilia sana!! Lakini kama angekataa kusalimu amri ungekuwa ndio mwisho wake, pamoja na kwamba angesababisha maafa makubwa!!
Halafu kumbe hili jamaa ni jambazi na liliwahi kufungwa miaka 9.
- Prigozhin received his first criminal conviction aged 18, later serving nine years in jail for robbery and theft. Once released, he opened a hot dog stand in the 1990s
Ni kawaida sana kukitokea rabsha watu wa usalama huchukua hatua za tahadhari,maana kama lingetokea jambo baya nyinyi wafuasi wa Biden mngesema ulinzi wa raisi wa Urusi ni dhaifu sana.Kuhani wa waafrika alikimbilia kwenye bunker akimuogopa Wagner.
Muda umejua kumvua nguo pyutin
Ni kawaida sana kukitokea rabsha watu wa usalama huchukua hatua za tahadhari,maana kama lingetokea jambo baya nyinyi wafuasi wa Biden mngesema ulinzi wa raisi wa Urusi ni dhaifu sana.
Kama unakumbukumbu au kama ulikua mkubwa unakumbuka Viongozi wote wakubwa wa USA baada ya Osama bin Laden kufanya yake September 11 akiwemo Rais Bush walifichwa wapi?
Nakujibu TU walikimbilia Bunkers pia wakimuogopa Mwarabu aliekua akiishi mapangoni huko afghanisatani.
Leo mmebadilika mlisema ilikuwa prank tu kwa NATO [emoji23] [emoji23] leo kawa jambaz na sio prank?Si mnakumbuka alikuwa analalamika kupewa ammunitions/risasi, mabomu, mizinga kidogo!! Alikuwa ameshaanza kutokuaminika. Kwa hiyo ili asiwe na lundo kubwa la silaha alikuwa anapewa kidogo tu kinachomtosha kwenye uwanja wa mapambano.
Hakuwa anaaminika tena kutokana na kulalamikia makamanda wakuu wa majeshi ya urusi!! Kwa hiyo hakupewa dhamana nyingine baada ya kuwa amefanikiwa kuteka Bakhmut!! Wakampa siasa kuwa majeshi yake yapumzike kwanza!! Yalipopumzishwa akapewa dozi ya pili kwa, wapiganaji wa Wagner waingie mkataba na wizara ya ulinzi ya urusi, wasiwe moja kwa moja chini ya Wagner!
Lengo ni kumtenga taratibu!! Hapo ndipo aliposhtuka na kukataa!! Tayari Wagner hawakuwa na ammunitions za kuwatosha kuendesha mapambano na jeshi la urusi kwa muda mrefu!! Ni kweli wana uzoefu lakini bado kwa ni maji sana kupambana na PUTIN!
Rais wa Belarus akatumwa amwambie ukweli: Chagua kuendelea na uasi lakini ndio itakuwa mwisho wako, au achana na Urusi nitakuombea msamaha na kukupa nafasi ya kuhamia Belarus na kukuruhusu kuendeleza kampuni yako ya ulinzi!! Mwenyewe akanyosha mikono na kuamua kuachana na uasi na kwenda uhamishoni!!
Urusi ilijizuia sana ili kuepusha mauaji mengi ya askari na raia na ingekuwa aibu sana na maadui wa urusi kina MK254 wangeshangilia sana!! Lakini kama angekataa kusalimu amri ungekuwa ndio mwisho wake, pamoja na kwamba angesababisha maafa makubwa!!
Halafu kumbe hili jamaa ni jambazi na liliwahi kufungwa miaka 9.
- Prigozhin received his first criminal conviction aged 18, later serving nine years in jail for robbery and theft. Once released, he opened a hot dog stand in the 1990s
Imefanyaje hiyo intelligence ya urusi ?Acha tu mkuu huyu jamaa angewanufaisha sana mashoga sema ndio hivyo kakutana na intellijensia makini ya Urusi
Unazungumzia vitu havifanan kabisa , ile ilikuwa kutafuta sabab kwa wamerakan wabariki uvamizi wa nchi shukiwa ila hili linalenga nn ?Kama hujui hata shambulio la september 11 huwa ni igizo tu la usa. Pia hakujawahi kutokea binadamu anayeitwa osama bin laden. Leo unaona maajabu kwa ndege kutunguliwa
Akil zako bana si ajab ww ni u18Haya ni maigizo tuu, USA anavutwa polepole ajilengeshe
Yaani muasi wa Russia aogope kwenda Russia achague kwenda kupata hifadhi Belarusi?Si mnakumbuka alikuwa analalamika kupewa ammunitions/risasi, mabomu, mizinga kidogo!! Alikuwa ameshaanza kutokuaminika. Kwa hiyo ili asiwe na lundo kubwa la silaha alikuwa anapewa kidogo tu kinachomtosha kwenye uwanja wa mapambano.
Hakuwa anaaminika tena kutokana na kulalamikia makamanda wakuu wa majeshi ya urusi!! Kwa hiyo hakupewa dhamana nyingine baada ya kuwa amefanikiwa kuteka Bakhmut!! Wakampa siasa kuwa majeshi yake yapumzike kwanza!! Yalipopumzishwa akapewa dozi ya pili kwa, wapiganaji wa Wagner waingie mkataba na wizara ya ulinzi ya urusi, wasiwe moja kwa moja chini ya Wagner!
Lengo ni kumtenga taratibu!! Hapo ndipo aliposhtuka na kukataa!! Tayari Wagner hawakuwa na ammunitions za kuwatosha kuendesha mapambano na jeshi la urusi kwa muda mrefu!! Ni kweli wana uzoefu lakini bado kwa ni maji sana kupambana na PUTIN!
Rais wa Belarus akatumwa amwambie ukweli: Chagua kuendelea na uasi lakini ndio itakuwa mwisho wako, au achana na Urusi nitakuombea msamaha na kukupa nafasi ya kuhamia Belarus na kukuruhusu kuendeleza kampuni yako ya ulinzi!! Mwenyewe akanyosha mikono na kuamua kuachana na uasi na kwenda uhamishoni!!
Urusi ilijizuia sana ili kuepusha mauaji mengi ya askari na raia na ingekuwa aibu sana na maadui wa urusi kina MK254 wangeshangilia sana!! Lakini kama angekataa kusalimu amri ungekuwa ndio mwisho wake, pamoja na kwamba angesababisha maafa makubwa!!
Halafu kumbe hili jamaa ni jambazi na liliwahi kufungwa miaka 9.
- Prigozhin received his first criminal conviction aged 18, later serving nine years in jail for robbery and theft. Once released, he opened a hot dog stand in the 1990s
Una ushaidi au ndo porojo zenu kujifarijiNi kawaida sana kukitokea rabsha watu wa usalama huchukua hatua za tahadhari,maana kama lingetokea jambo baya nyinyi wafuasi wa Biden mngesema ulinzi wa raisi wa Urusi ni dhaifu sana.
Kama unakumbukumbu au kama ulikua mkubwa unakumbuka Viongozi wote wakubwa wa USA baada ya Osama bin Laden kufanya yake September 11 akiwemo Rais Bush walifichwa wapi?
Nakujibu TU walikimbilia Bunkers pia wakimuogopa Mwarabu aliekua akiishi mapangoni huko afghanisatani.
Hata hiyo ni mingi, nina miaka 7 natumia simu ya babaAkil zako bana si ajab ww ni u18
Inaknekana uko nje ya muda[emoji28]Hakuna igizo kama hilo!! Igizo gani la kusababisha ndege kutunguliwa?