Huyu JAMBAZI alikuwa ameshashtukiwa kitambo: Walikuwa wanamlia timing tu!!

ukiripoti kutoka Kremlin...
 
Kuhani wa waafrika alikimbilia kwenye bunker akimuogopa Wagner.
Muda umejua kumvua nguo pyutin
Ni kawaida sana kukitokea rabsha watu wa usalama huchukua hatua za tahadhari,maana kama lingetokea jambo baya nyinyi wafuasi wa Biden mngesema ulinzi wa raisi wa Urusi ni dhaifu sana.

Kama unakumbukumbu au kama ulikua mkubwa unakumbuka Viongozi wote wakubwa wa USA baada ya Osama bin Laden kufanya yake September 11 akiwemo Rais Bush walifichwa wapi?

Nakujibu TU walikimbilia Bunkers pia wakimuogopa Mwarabu aliekua akiishi mapangoni huko afghanisatani.
 

Wehu ulishakuondolea aibu so unaweza andika chochote kile.
September 11 Bush alikuwa kwenye shule ya vidudu na hata alivyoambiwa kuwa kuna shambulizi la kigaidi ndani ya Marekani hakuonyesha kushtuka.

Zombi, sikia....
Wagina Alitumia miezi 9 ndipo akakaribia kuiteka Bakhmut ila ametumia masaa kadhaa na kukaribia kuingia Moscow hii ni ishara tosha kuwa jeshi la Ukraine jeshi hatari katika hii dunia.
 
Leo mmebadilika mlisema ilikuwa prank tu kwa NATO [emoji23] [emoji23] leo kawa jambaz na sio prank?
 
Kama hujui hata shambulio la september 11 huwa ni igizo tu la usa. Pia hakujawahi kutokea binadamu anayeitwa osama bin laden. Leo unaona maajabu kwa ndege kutunguliwa
Unazungumzia vitu havifanan kabisa , ile ilikuwa kutafuta sabab kwa wamerakan wabariki uvamizi wa nchi shukiwa ila hili linalenga nn ?
 
Yaani muasi wa Russia aogope kwenda Russia achague kwenda kupata hifadhi Belarusi?
Hivi ni vituko kwelikweli, tena anapangiwa aende Belarusi, hapo kuna tofauti gani na kuishi Russia?
 
Una ushaidi au ndo porojo zenu kujifariji
 
Hakuna igizo kama hilo!! Igizo gani la kusababisha ndege kutunguliwa?
Inaknekana uko nje ya muda[emoji28]
Umeambiwa na prigo haijarushwa hata risasi Moja Wala tone la damu kuvuja[emoji16]
 
Putin anapitia wakati magumu sana, kwenye press alikua kama ameshusha chupa mbili ivi za Hennessy

Option alizotoa nafikiri jambazi hajakosea kuchagua kunusuru maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…