Huyu Jembekillo nomaa...

Huyu Jembekillo nomaa...

Executor

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
872
Reaction score
994
Huyu jamaa ana uzi wake humu una 1M reply, si kitu ya kawaida hii, alafu amekuwa BANNED [emoji848] alijikuta founder wa JF nini...!?

[emoji124][emoji124]
IMG_20190917_204528_847.jpeg
 
Uzi wa kijinga sana ule.

Umejaa watoto, wapuuzi na mazezeta kama mazezeta wa kule fb.
[emoji75] Ule uzi naonaga picha za ajabu ajabu tu....

Lakini zama zimebadilika vitu visivyo na msingi sasa ndo vyenye msingi na vile vinamsingi huonekana ovyo...[emoji119]
 
Back
Top Bottom