Huyu jenerali wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye suluhu, haya kashushwa madaraka

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nakumbuka humu JF hakukukalika, tuliambiwa huyu ndiye pasua kichwa, ndiye mwenye misifa yote ya kulipua mabomu hata uraiani, maana ameua watu wa Syria sana kule, akategemewa kuwaua raia wa Ukraine, na kweli kaanzisha kampeni kali ya kupelekea mizinga uraiani, akasifiwa sana humu......

Hatimaye Urusi wamemshusha madaraka baada ya kugundua hana lolote, wamebanwa mpaka kuleee........takbirr

TELEMMGLPICT000320826132_trans_NvBQzQNjv4BqqVzuuqpFlyLIwiB6NTmJwSX5rhseiWKOo9p9OQ-ymek.jpeg

Russia's 'General Armageddon' demoted after just three months following battlefield failures​

Sergei Surovikin has been replaced as Russia's commander of the Ukraine invasion after a bombing campaign failed to turn the tide of the war
The Russian general commanding the Ukraine invasion has been demoted after just three months amid criticism that his campaign of bombing the Ukrainian power grid had failed.
Gen Sergei Surovikin, known as General Armageddon for his destruction of Aleppo in 2016, has been replaced as commander of Russian forces in Ukraine by Gen Valery Gerasimov, the head of the Russian army.
Gen Surovikin will now serve as Gen Gerasimov’s deputy.
The move is likely to deepen the rift between the Kremlin and an increasingly powerful wing of Russian nationalists who blame Gen Gerasimov for the failure to capture Kyiv.

In shifting Gen Gerasimov, analysts said Vladimir Putin could be trying to increase "manual control" over management of the war and deflect criticism by pro-war ultra-nationalists inside and outside the Kremlin.
The appointment appears to be a direct rebuke to Yevgeny Prigohzin, head of the mercenary Wagner group, an ally of Gen Surovikin.
 
Mimi binafsi imani yangu ilikuwa kwa Surovikin kati ya majenerali wa juu waliobakia pale Russia. Mbinu zake za bomoabomoa ndio Russia hutumia kwenye vita tangu hajawa ngazi za juu jeshini. Georgia (ambapo General Gerasimov alipatia umaarufu) na Syria walitumia mbinu hizohizo na hata asingekuwa Surovikin mwingine yeyote angefanya hivyo, na majenerali wengi waliohusika Syria walikubalia mbinu hizo na haohao wanahusika Ukraine. Hata Gerasimov ni General sahihi kwa waliopo.

Surovikin yuko muwazi kwa kiasi fulani. Kuna power struggle baina ya majenerali wa juu nani amrithi Gerasimov ambaye muda wa kustaafu umefika na amedumu cheo kile muda mrefu. Surovikin ni mojawapo ya wanaohisiwa wanaweza rithi. Kuna kusagiana kunguni baina ya defense officials na watu wa industry ya defence na aerospace.

Col. Gen. Alexander Lapin aliyeondolewa kwenye command Ukraine ni team ya General Gerasimov. Sergei Prigozhin wa Wagner PMC na Ramzan Kadyrov wa Chechnia hawakumpenda Lapin na walimpenda Surovikin. Cha ajabu alipoanza command tu Russia ikafanya retreat kutoka Kherson na hawakumsimanga kama walivyokuwa wanamsimanga Lapin.

Sasa nani atafanya maajabu. Putin bado ana imani na Shoigu na Gerasimov
 
Nakumbuka humu JF hakukukalika, tuliambiwa huyu ndiye pasua kichwa, ndiye mwenye misifa yote ya kulipua mabomu hata uraiani, maana ameua watu wa Syria sana kule, akategemewa kuwaua raia wa Ukraine, na kweli kaanzisha kampeni kali ya kupelekea mizinga uraiani, akasifiwa sana humu......

Hatimaye Urusi wamemshusha madaraka baada ya kugundua hana lolote, wamebanwa mpaka kuleee........takbirr

TELEMMGLPICT000320826132_trans_NvBQzQNjv4BqqVzuuqpFlyLIwiB6NTmJwSX5rhseiWKOo9p9OQ-ymek.jpeg

Russia's 'General Armageddon' demoted after just three months following battlefield failures​

Sergei Surovikin has been replaced as Russia's commander of the Ukraine invasion after a bombing campaign failed to turn the tide of the war
The Russian general commanding the Ukraine invasion has been demoted after just three months amid criticism that his campaign of bombing the Ukrainian power grid had failed.
Gen Sergei Surovikin, known as General Armageddon for his destruction of Aleppo in 2016, has been replaced as commander of Russian forces in Ukraine by Gen Valery Gerasimov, the head of the Russian army.
Gen Surovikin will now serve as Gen Gerasimov’s deputy.
The move is likely to deepen the rift between the Kremlin and an increasingly powerful wing of Russian nationalists who blame Gen Gerasimov for the failure to capture Kyiv.

In shifting Gen Gerasimov, analysts said Vladimir Putin could be trying to increase "manual control" over management of the war and deflect criticism by pro-war ultra-nationalists inside and outside the Kremlin.
The appointment appears to be a direct rebuke to Yevgeny Prigohzin, head of the mercenary Wagner group, an ally of Gen Surovikin.
Stupid West propaganda..no demotion there....he is still in charge under the command of his boss...
 
Supa-pawa kafanya 'reshuffle'....huu mwaka atafanya yote.
 
Back
Top Bottom