Huyu jenerali wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye suluhu, haya kashushwa madaraka

Stupid West propaganda..no demotion there....he is still in charge under the command of his boss...

heheh hili neno propaganda mumelitumia mpaka halina maana tena.... kichapo kiko pale pale.
 
Hiyo jeshi ya Russia haina lolote ni joka la kibisa tu wao wanachoweza ni kuua raia tu. Bure kabisa.
 
Huyu jamaa alipopewa kile cheo siku ya pili alipiga mizinga bure bure Kyiv ukiuliza labda ameangusha majengo hakuna ata mtu mmoja ndani alikuwa jenerali wa ovyo sana.,

Watu wanapiga shabaha wakauwa hadi 400 kwenye kambi yeye anapiga missiles bombs tu silaha wenyewe Urusi hawana tena wanakodi toka Iran sasa na North Korea
 
1954 njoo utoe ufafanuzi hapa.Imekuwaje Kamanda mahiri kabisa ameshushwa cheo ndani ya miezi mitatu tu?
Hajashushwa cheo...he is still in charge...Russia has reorganized its army in this war...That is SMO has been raised to another level...the whole of the Russi's general staff is now in command of the SMO..This is according to various experts including those from NATO and the west...There have been noticeable movements of various units of the Russia's armed forces..These includes the aviation and navy...it would appear Russia is now preparing for a bigger war with NATO....nimekujibu kiungwana kwa kuwa binafsi nakuheshimu..
 
Hii vita isiyokuwa na kichwa wala miguu ilishamshinda mzee Putingo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…