much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Naona mzee kaamua akupe sureBawacha bhana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mzee kaamua akupe sureBawacha bhana..
Duh, we jamaa unatafuna hata ambazo umeazimwa.
Hiyo tabia wacha aise, mimi nimeshamshuhudia bonge mmoja anapitisha peni kujikuna 'ufa' wa makalio, akiamini hakuna anayemuona.
Hapo chacha.Halafu ampe anaetafuna atafune😛
Tatizo unatumia kalamu za bei rahisi...Connection ila ni mweupe kabisa kwenye hiyo tasnia ila swala la kula kalam hata mi ni tatizo na limefika mbali kwani nakula hadi ambazo nimeazimwa kitu ambacho kimekuwa tatizo na kero hadi kwangu mwenyewe sina kalamu yenye mfuniko kuepuka kula za watu huwa nasign narudisha kwao ni tatizo la kitaifa