Huyu Judge naye alikuwa kivutio miss Tanzania, alitafuna peni nusu kuimeza yote

Duh, we jamaa unatafuna hata ambazo umeazimwa.

Hiyo tabia wacha aise, mimi nimeshamshuhudia bonge mmoja anapitisha peni kujikuna 'ufa' wa makalio, akiamini hakuna anayemuona.

Halafu ampe anaetafuna atafune😛
 
Mitanzania bhana..jaji alikuwa peke yake??..na ni nani ulitaka awe nafasi yake??

Miss tanzania aliyepatikana wewe una complain yoyote??
 
Tatizo unatumia kalamu za bei rahisi...
 
Hili la kula vufuniko vya pen hata Mimi ninalo
 
Kenedy mwenyewe kuvaa hawez anawezaje kutengeneza mlimbwende wa kuiwakilisha tz kimataifa?
Hapa ndipo tunapokosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…