Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Duh!Yanga walivyo na kisirani inawezekana ile solotape iliandaliwa spesho kwa ajili yake. Akirudi Simba atakuwa ka zezeta.
Cello tapeNi aibu sana. Sal Tape kweli mtu anafungwa kichwani? Wakati wa kumtoa si inaweza toka na ngozi au nywele?
Halafu mnakaa kuahidi ujinga badala ya kusaidia team iwe vizuri.
Ni aibu sana. Sal Tape kweli mtu anafungwa kichwani? Wakati wa kumtoa si inaweza toka na ngozi au nywele?
Halafu mnakaa kuahidi ujinga badala ya kusaidia team iwe vizuri.
🤣🤣Ni aibu sana. Sal Tape kweli mtu anafungwa kichwani? Wakati wa kumtoa si inaweza toka na ngozi au nywele?
Halafu mnakaa kuahidi ujinga badala ya kusaidia team iwe vizuri.
Sijui kama ni typo tu lakini tambua kuwa inaitwa cello tapeNi aibu sana. Sal Tape kweli mtu anafungwa kichwani? Wakati wa kumtoa si inaweza toka na ngozi au nywele?
Halafu mnakaa kuahidi ujinga badala ya kusaidia team iwe vizuri.
Hakuna typing error hapo ni hivyo hivyo SAL TAPE. try to google.Sijui kama ni typo tu lakini tambua kuwa inaitwa cello tape
Saltapae is a misspaleling cello tape!Hakuna typing error hapo ni hivyo hivyo SAL TAPE. try to google.