Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
- Thread starter
- #21
Hapo unachangaya na jina la kampuni ya kihindi SAL ambayo nayo inayotengeza cello tapes. Siyo tapes zote zinazozaliswa na SAl ni cello tapes. Vile vile kuna makampuni mengine mengi yanayotengeza cello tapes, kwa mfano 3M.You know nothing about it
View attachment 3453280
Hapo unachangaya na jina la kampuni ya kihindi SAL ambayo nayo inayotengeza cello tapes. Siyo tapes zote zinazozaliswa na SAl ni cello tapes. Vile vile kuna makampuni mengine mengi yanayotengeza cello tapes, kwa mfano 3M.
Sasa jana ndio nimeona aibu mbele ya TV, kocha wa timu ya Taifa ya walemavu Tembo analalamika wachezaji hawana hata nauli ya kuja mazoezini, hawana chakula, hawana maji , hawana jezi na walipo waomba TFF wakajibiwa wanachama chao cha walemu na BMT wao wakawaambia wakiwa tayari kwenda Burundi watawasaidia usafiri, sasa unakaa kujiuliza hivi kweli kama Taifa tuna shindwa kweli kuendeleza kile tunacho takiwa kukufanya kwaajili ya kila sekta ktk nchi yetu? mbona bajeti zina pita bila kupingwa za michezo au ni michezo ni yawalio wazima tu? Simba Yanga na Taifa star tu? Kwakweli tunahutaji watendaji wasio na macho 2 tofauti wasimamie vilivyo kila kipangwacho kwa manufaa ya Taifa hili.Ni aibu sana. Sal Tape kweli mtu anafungwa kichwani? Wakati wa kumtoa si inaweza toka na ngozi au nywele?
Halafu mnakaa kuahidi ujinga badala ya kusaidia team iwe vizuri.
Sasa jana ndio nimeona aibu mbele ya TV, kocha wa timu ya Taifa ya walemavu Tembo analalamika wachezaji hawana hata nauli ya kuja mazoezini, hawana chakula, hawana maji , hawana jezi na walipo waomba TFF wakajibiwa wanachama chao cha walemu na BMT wao wakawaambia wakiwa tayari kwenda Burundi watawasaidia usafiri, sasa unakaa kujiuliza hivi kweli kama Taifa tuna shindwa kweli kuendeleza kile tunacho takiwa kukufanya kwaajili ya kila sekta ktk nchi yetu? mbona bajeti zina pita bila kupingwa za michezo au ni michezo ni yawalio wazima tu? Simba Yanga na Taifa star tu? Kwakweli tunahutaji watendaji wasio na macho 2 tofauti wasimamie vilivyo kila kipangwacho kwa manufaa ya Taifa hili.
Nimejikuta nacheka mwenyewe hapa, wangezuia hata kwenye taarifa ya habari isionekane aiseee, hivi viongozi ule mshipa wa aibu hawana?Hao walemavu si issue hawana mashabiki wengi so hatuwezi hangaika nao. Simba na Yanga au Taifa huko kuna wapiga kura ndo maana tunatoa hata pesa kwa magoli.
😂Sio soltape unaoijua wewe ya kufungia maboksi hahaha. Ile ni splint tape au sports tape, kwa nje inakuwa ni plastic ila kwa ndani ina sponchi nyembamba yenye dawa ya kuzuia kuvuja damu au kukausha majeraha madogo sana. Umeuliza swali badala ya kusubiri majibu umeanza kukebehi - wakati hujui lolote
Jamaa anajua ni zile zakufungia maboksi... jeiefu wajuaji wengi kumbe kichwani hamna kituSio soltape unaoijua wewe ya kufungia maboksi hahaha. Ile ni splint tape au sports tape, kwa nje inakuwa ni plastic ila kwa ndani ina sponchi nyembamba yenye dawa ya kuzuia kuvuja damu au kukausha majeraha madogo sana. Umeuliza swali badala ya kusubiri majibu umeanza kukebehi - wakati hujui lolote
Seal tape.Yanga walivyo na kisirani inawezekana ile solotape iliandaliwa spesho kwa ajili yake. Akirudi Simba atakuwa ka zezeta.