Huyu Kagoma alifungwa sal tape kichwani?

Hapo unachangaya na jina la kampuni ya kihindi SAL ambayo nayo inayotengeza cello tapes. Siyo tapes zote zinazozaliswa na SAl ni cello tapes. Vile vile kuna makampuni mengine mengi yanayotengeza cello tapes, kwa mfano 3M.

Sichanganyi ndo nakueleza. Nani kakwambia nachanganya? Ni kama ningekuambia Je Kagoma alikunywa Pepsi. Halafu uje useme nachanganya. Nlitakiwa niseme coca cola.
 
Ni aibu sana. Sal Tape kweli mtu anafungwa kichwani? Wakati wa kumtoa si inaweza toka na ngozi au nywele?

Halafu mnakaa kuahidi ujinga badala ya kusaidia team iwe vizuri.
Sasa jana ndio nimeona aibu mbele ya TV, kocha wa timu ya Taifa ya walemavu Tembo analalamika wachezaji hawana hata nauli ya kuja mazoezini, hawana chakula, hawana maji , hawana jezi na walipo waomba TFF wakajibiwa wanachama chao cha walemu na BMT wao wakawaambia wakiwa tayari kwenda Burundi watawasaidia usafiri, sasa unakaa kujiuliza hivi kweli kama Taifa tuna shindwa kweli kuendeleza kile tunacho takiwa kukufanya kwaajili ya kila sekta ktk nchi yetu? mbona bajeti zina pita bila kupingwa za michezo au ni michezo ni yawalio wazima tu? Simba Yanga na Taifa star tu? Kwakweli tunahutaji watendaji wasio na macho 2 tofauti wasimamie vilivyo kila kipangwacho kwa manufaa ya Taifa hili.
 

Hao walemavu si issue hawana mashabiki wengi so hatuwezi hangaika nao. Simba na Yanga au Taifa huko kuna wapiga kura ndo maana tunatoa hata pesa kwa magoli.
 
Hao walemavu si issue hawana mashabiki wengi so hatuwezi hangaika nao. Simba na Yanga au Taifa huko kuna wapiga kura ndo maana tunatoa hata pesa kwa magoli.
Nimejikuta nacheka mwenyewe hapa, wangezuia hata kwenye taarifa ya habari isionekane aiseee, hivi viongozi ule mshipa wa aibu hawana?
 
😂
 
Jamaa anajua ni zile zakufungia maboksi... jeiefu wajuaji wengi kumbe kichwani hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…