huyo dada uliyemuunganisha
naye ndiye anaweza kusaidia kutoa 'clue' ya status ya jamaa
kimahusiano... e.g huwa wanaongea nini wakiwa pamoja: vitambulisho vya
taifa, sensa, kutekwa kwa dr ulimboka au mambo ya mahusiano and probably
how the guy feels towards her....
Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.
Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.
Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?
unazidi kupruv tu..hahaa.Kazi utakuwa nayo wewe?
Wewe bangaiza tu, wenye kazi hawaonekani humu kihivi.
unazidi kupruv tu..hahaa.
hii ni another 'over-analysis' which contains 'nothing' really tbh, ambayo hata hivo bado inapruv hoja yangu..Ukweli ni kwamba kuna ushahidi kabisa kwamba miongoni mwa wanaojifanya kupinga ma gay kwa nguvu kabisa kuna ma gay wengi tu, wanajisikia guilty na katika kujazia ndo wanajitia prominent anti-gay crusaders.
On the other hand, mtu anaweza kuwa na principle tu ya kutetea minority yoyote. Non-whites in a white majority country, left handed people in a right-hand majority population.Wasioamini katika population iliyojaa waumini.
Ni mambo ya kuwa na uelewa tu kwamba dunia inavyoenda kuna watu tofauti, na huku kujidai shingo kavu kupinga vitu ambavyo vipo hakuna mantiki.
Na mtu kutetea watu waishi kama wanavyotaka hakumanishi mtu ni gay.
Mie natetea mashoto wapewe haki zao jeshini, wapewe silaha zilizotengenezwa kwa ajili ya mashoto, kwa sababu si kila mtu anatumia mkono wa kulia. Na mashoto wana haki na wajibu wa kuwamo jeshini.
Hilo halimaanishi mimi ni shoto.
Kuhusu kuwa passionate mi karibu kila ninachoandika naandika kwa passion, kwa hiyo likikusumbua hilo ukaliona hapa tu ni tatizo lako.
mimi na wewe tunajua jibu hapa..lets get past this/Angalia usije kuwa unaona proof kwa mirage.
mimi na wewe tunajua jibu hapa..lets get past this/
not entirely true. most religions condemn GLT which makes it hard for them to join, similarly homophobes use religion to justify ill treatment to open GLT members. churches which accept gays are few and far apart and mosques are even rarerhii ni another 'over-analysis' which contains 'nothing' really tbh, ambayo hata hivo bado inapruv hoja yangu..
otoh, umeulizwa swali, kwanini GLT wengi ni atheists...? i am all ears.
Huyu ana miaka 39 kama sikosei, I am sure kama ingekuwa na case ya heart broken tungemuelewa lakini siyo hivyo...Kwani mnaishi kijiji gani? Miaka 30 kwa kijana wa kiume sio mingi. Kuna watu wako reserved na mambo yao tu, ila ni ma-heartbreaker wazoefu! Nani alitoa uzi wa maswali ya kukera ya 'unaoa ama unaolewa lini?'
hii ni another 'over-analysis' which contains 'nothing' really tbh, ambayo hata hivo bado inapruv hoja yangu..
otoh, umeulizwa swali, kwanini GLT wengi ni atheists...? i am all ears.
hiv naezaje kumfatilia mtu nisiyemjua ?? sifahamiani hata mtu mmoja jf...sasa sijui ninawezaje it is beyond my hetero-quasi-sapio-sexual senses. labda upande wa pili wanaweza hilo.Overanalysis pekee hapa ni kutaka kumfuatilia mtu ambaye kaamua kuishi maisha yake tofauti nanyi na kutoa conclusions ambazo hamna hata uhakika nazo, kwa ushahidi wa post za internet.
hiyo ni homework yako niliokupa, sio lazima uifanye leo...:laugh:Kwamba GLT wengi ni atheists siwezi kukujibu kwa sababu silijui hilo na wala sijui source yako na wala sijui kama ni la ukweli.
Ninachojua ni ma anti-gay crusaders wengi ni gay.
Kama huyu Senator Larry Craig aliyekuwa anawapiga mawe gays kumbe na yeye anatafuta mtu kwenye public toilets tena.
Larry Craig scandal - Wikipedia, the free encyclopedia